Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wallahi kuna wakati niliwaza weye si mbongo! Mbona anawapenda sana hawa Wakorea? Ila Kiswahili chako sasa! Ulisoma kule au huwa unazuka tu kufanya yako Mkuu?

mara yangu ya kwanza kuweka avatar ya mwanadamu ambaye si mkorea tokea nijiunge jf kama nitakuwa nipo sahihi
masai baby.
kuna watu mungu amewaumba weusi sana kama makaa ya mawe (mungu nisamehe kwa kuingilia uhuru wako)​
 
Atwambie wakishakusanya hiyo mifuko ya plastic nini kitafuata.

#Habari:Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira,January Makamba amesema mpaka sasa makampuni matatu yamepatikana kwa ajili ya kukusanya mifuko ya plastiki wakati wa kutekeleza zoezi la marufuku ya mifuko ya plastiki hapa nchini kuanzia tarehe moja mwezi wa sita.
 
Maisha yatakuwa hivyo mpaka siku ya KIAMA
Siku zote MWANAMKE hawezi kumpata Mwanaume aliye mkamilifu maana tupo aina tofauti tofauti.
1.Ukimpata Handsome_Kichwa chake ni empty.
2.Ukimpata Genius_Yuko serious masaa 24 na wengi huwa hawako romantic, hawajipendi kihiivyo, wako rafu mno.
3.Ukimpata Tajiri_ Hawezi kukuheshimu full madharau, utamwambia nini wakati hela anayo bana.
4.Ukimpata Mfanyakazi hodari_ Hana muda wa kuwa karibu na wewe, muda wote anawaza kazi na kutafuta maisha/pesa.
5.Ukimpata mnyenyekevu_ Mfukoni huwa ni 0%
6.Ukimpata anayekupenda kwa dhati_ Anakuwa siyo type yako, yaani hana sifa unazozitaka, au hana muonekano ule unaoutaka wewe.
7.Ukimpata msomi_ Hasikilizi ushauri wako anakuona boya tu, huna point za maana mbele yake.
8.Ukimpata yule Smart_ Ni muongo kupita kiasi na player.
Hivyo basi, fuata moyo wako na shukuru kwa kila hali. Maana toka anguko la ADAM hakuna mwanadamu mkamilifu, hata wewe hapo haujakamilika.
______________________________________
 
Takriban watu 17 wamefariki na wengine 44 wamelazwa katika hospotali mbili na wanaendelea kupokea matibabu baada ya kukunywa pombe ghushi katika jimbo la Uttar Pradesh kaskazini mwa India,maafisa wamesema hivi leo (Jumatano).

"Baada ya kunywa pombe hiyo,wanakijiji walilalamika kutoona na kichefuchefu,"afisa mmoja wa afya alisema. "Pia walihisi matatizo katika kupumua."

Waziri wa idara ya Ushuru Jai Pratap Singh alisema kuwa hatua kali zitachukuliwa dhidi ya wale wanaopatikana na hatia ya kuuza pombe hiyo haramu.
 
.
FB_IMG_1559069165880.jpeg
 
Back
Top Bottom