Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Alizingua sana huyu dogo. Hi hadi e teribo hedeki ndo maana. Ilibidi nimwekee tena hiyo video ili afaudu [emoji16][emoji16][emoji16]Heee wewee(in jirani's voice)
Alizingua sana huyu dogo. Hi hadi e teribo hedeki ndo maana. Ilibidi nimwekee tena hiyo video ili afaudu [emoji16][emoji16][emoji16]Heee wewee(in jirani's voice)
Ee yanageuka kiainaUkigeuza na maandishi nayo yanageuka. Au hili tatizo ni kwa TECNO peke yake?
Aisee. Wenye hela nao kumbe wanapataga shida?![]()
Tahadhari ukienda kununua gari show room kuwa makini sana
Nimeamua kuandika hii thread kuwatahadharisha mnaonunua magari ktk show rooms kuwa makini yasije kuwakuta kama yaliyonifika mimi . Nilichukua mkopo Benki moja kwa ajili ya kuendeleza na kukuza kazi yangu. Nikaenda na pesa ktk showroom moja ipo mtoni kwa Azizi Ally jirani na petrol station na...www.jamiiforums.com