Staa huyo amepiga asisti 15 huko Ligi Kuu England, akifunika watu kibao akiwamo Ryan Fraser aliyepiga asisti 14 kwenye Ligi Kuu England, Jadon Sancho asisti 14 kwenye Bundesliga, Joshua Kimmich asisti 13 kwenye Bundesliga, Lionel Messi asisti 13 kwenye La Liga, Pablo Sarabia asisti 13 kwenye La Liga na Teji Savanier asisti 13 kwenye Ligue 1.