Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ila kuna watu wachafu jamani!! Maji yako belele lakini mtu atatafuta visingizio mbali mbali ili asioge! Wengine wanaoga mara 2 au tatu tu kwa wiki! [emoji15]
Kwa mtoto wa kiume kuoga mara 2 au 3 kwa wiki sio mbaya sana.
Jumanne nilitoka zangu shamba kubeba maparachichi,ndizi za kuiva na mafyulisi. Kwa hali ilivyo ya baridi bado sijaoga mpaka leo japo nanukia nukia kwa mbaalii halufu ya ndizi za kuiva na mafyulisi...Ila nipo fresh kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuoga huko labla uwe huna mke
 
Wapi hiyoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…