The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
so sad!Tutaisoma wote....View attachment 1112236
so sad!Tutaisoma wote....View attachment 1112236
Hata kama hakusema yeye ila karibu yote ni ukweli !!!
Maskini Ozil...
Kwa mtoto wa kiume kuoga mara 2 au 3 kwa wiki sio mbaya sana.
Jumanne nilitoka zangu shamba kubeba maparachichi,ndizi za kuiva na mafyulisi. Kwa hali ilivyo ya baridi bado sijaoga mpaka leo japo nanukia nukia kwa mbaalii halufu ya ndizi za kuiva na mafyulisi...Ila nipo fresh kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1112201
Hahaha anko bana hadi machoziDuhhh!!
Hadi macho yametoa machozi... Ila somo limeeleweka