Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte ameliambia jeshi la polisi nchini humo kufanya uchunguzi juu ya mwanaye wa kwanza Paolo Duterte, 42, anayetuhumiwa kuhusika na kikundi kikubwa cha uuzaji na uambazaji wa dawa za kulevya cha China na kuwaambia ushahidi ukionesha tuhuma hizo ni za kweli wamuue bila wasiwasi wowote.
​
Nchini Ufilipino katiba inaruhusu mtu yeyote anayejihusisha kwa namna yoyote na madawa ya kulevya auawe na hadi sasa watu zaidi ya 9,000 wameshauawa kutokana na makosa hayo.
​
Rais Duterte alimwambia mwanaye β€œamri yangu ni kuhakikisha wamekuua pindi itakapo thibitishwa unahusika na biashara hii ya dawa za kulevya, na nitawalinda mapolisi hao ambao watakuua.”
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sawa Mkuu uko fresh. Ila hukawii kuwasoma warembo humu wataalamu wa BJ β€œME wananuka pumbu” πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚sijui ni harufu ya maparachichi au ndizi 🀣🀣🀣

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…