Kiongozi wa waasi kusikia Nyerere tu akaishiwa pozi...
Indee jamaa alifanya makubwa sana harakati zake alikua kama Nabii tu japo kuchukiwa na kupingwa hakukwepeki....Kiongozi wa waasi kusikia Nyerere tu akaishiwa pozi...
Nyerere alijijengea heshima na ushawishi mkubwa sana. Juhudi zake za kuziokoa nchi zote zilizokuwa bado mikononi mwa nduli wa Magharibi kwa mali na mali; na tamaa yake ya kuona kuwa Afrika inakuwa moja ziliwakuna wengi (isipokuwa nduli wenyewe). Nyerere enzi zile ungemchukia kwa sababu gani? Zimbabwe, Msumbiji, Angola, Afrika Kusini; na kwingineko jina la Tanzania lilivuma.
Haya buana.Wakati timu ya Simba imebeba kombe la Ubingwa, mshindi wa pili amefanikiwa kupata Zawadi ya Fenesi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hongera mtani, ulichopata si haba[emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 1112208
Heee hivi nilikudanganya nipo usagara haaa[emoji126] hapo nyehunge bana[emoji23][emoji23][emoji23]Usagara? [emoji1][emoji1]
Heee hivi nilikudanganya nipo usagara haaa[emoji126] hapo nyehunge bana[emoji23][emoji23][emoji23]