Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kiongozi wa waasi kusikia Nyerere tu akaishiwa pozi...

Nyerere alijijengea heshima na ushawishi mkubwa sana. Juhudi zake za kuziokoa nchi zote zilizokuwa bado mikononi mwa nduli wa Magharibi kwa hali na mali; na tamaa yake ya kuona kuwa Afrika inakuwa moja ziliwakuna wengi (isipokuwa nduli wenyewe). Nyerere enzi zile ungemchukia kwa sababu gani? Zimbabwe, Msumbiji, Angola, Afrika Kusini; na kwingineko jina la Tanzania lilivuma.
 
Indee jamaa alifanya makubwa sana harakati zake alikua kama Nabii tu japo kuchukiwa na kupingwa hakukwepeki....

Hiyo issue ya kuunganisha Afrika kuamoja ilimfanya asimame kumpigia Salute Bob Marley baada ya kupiga lile song lake la Africa Unite. Alipokua anatumbwiza pale Zimbabwe miaka hiyoooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…