Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siyo kunyonyesha kweli? Au wakati mwingine ni maumbile tu ya mtu. Kuna wengine hawa wenye tu nyanya mchongoko hata huwezi kujua kama tayari keshazaa na kunyonyesha...
Labda maumbile ila wengine yamedandiwa sana,malori,vibajaji,vibaskeli vya kila aina vimeparamia lazima yasalimu amri vibaya. Wapo walionyonyesha yamekaa vizuri tu tena yamejaa cheki ya zari akiwa kwenye bra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…