Hahahaha huko sijawahi kujaribuWengine wanaipaka kwenye nunu pabane
Niliwahi pia kusikia Vaseline inafanya hivyo. Hebu nijaribu maana mmh limekuwa lapaaaYes mafuta yake unapaka
Usijaribu mwenzangu maana ukianza tu utataka kufata mengine khaa huko insta wapo wanaoambiwa wanywe mikojo na wanakunywa tena kojo la asubuhHahahaha huko sijawahi kujaribu
Olive oil iko Safi Sana unapaka usiku hayo maeneoNiliwahi pia kusikia Vaseline inafanya hivyo. Hebu nijaribu maana mmh limekuwa lapaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unafunguka tu ,hapa huwa hatusahau ubuyu kama huu ujueNiliwahi pia kusikia Vaseline inafanya hivyo. Hebu nijaribu maana mmh limekuwa lapaaa
Asante kwa maujuziOlive oil iko Safi Sana unapaka usiku hayo maeneo
Hayo maeneo siyafanyii majaribu naogopa mnoUsijaribu mwenzangu maana ukianza tu utataka kufata mengine khaa huko insta wapo wanaombiwa wanywe mikojo na wanakunywa tena kojo la asubuh
Karibu mpenziAsante kwa maujuzi
Haina tatizo mbona 😆😆😆, SYB anakeep records[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unafunguka tu ,hapa huwa hatusahau ubuyu kama huu ujue
Hahahaha wametulia wanatuchora tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unafunguka tu ,hapa huwa hatusahau ubuyu kama huu ujue
Haina tatizo mbona 😆😆😆, SYB anakeep records