BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Sisi kama wanaharakati tunaomuunga mkono na kumtetea Rais Magufuli, tunatoa tamko kwamba wote wanaomtukana Rais Magufuli tutawatafuta popote walipo, iwe Twitter, Facebook au Instagram na tukikukamata tutahakikisha unabaki kilema. Wewe mtu mmoja ukifa ili kusaidia watanzania milioni 54 hakuna hasara" Cyprian Musiba.!
👏👏👏👏Hahahahahaha watawaua wangapi!? Kama mtu hajithamini anajiita mwendawazimu hathamini wala kuiheshimu taasisi ya ULAIS nani mwenye akili yake timamu atakayemuheshimu huyu dikteta? Haheshimu katiba, haheshimu Bunge? Haheshimu mahakama, haheshimu ofisi ya CAG, haheshimu Watanzania halafu anategemea yeye aheshimiwe!? 😳