Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sisi kama wanaharakati tunaomuunga mkono na kumtetea Rais Magufuli, tunatoa tamko kwamba wote wanaomtukana Rais Magufuli tutawatafuta popote walipo, iwe Twitter, Facebook au Instagram na tukikukamata tutahakikisha unabaki kilema. Wewe mtu mmoja ukifa ili kusaidia watanzania milioni 54 hakuna hasara" Cyprian Musiba.!
 
Hahahahahaha watawaua wangapi!? Kama mtu hajithamini anajiita mwendawazimu hathamini wala kuiheshimu taasisi ya ULAIS nani mwenye akili yake timamu atakayemuheshimu huyu dikteta? Haheshimu katiba, haheshimu Bunge? Haheshimu mahakama, haheshimu ofisi ya CAG, haheshimu Watanzania halafu anategemea yeye aheshimiwe!? 😳

 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
inginia soma iyoooooo entreprerneyekeneur
hebu rejea tena bwege wewe.

jamaa alisema yeye ndiye mtu pekee anayekula raha nchini tanzania
kuna anayebisha?
mamlaka ya kodi wako wapi?
takukuru wako wapi?

nimecheka kweli huyu jamaa ni empty set, ameonyesha umahiri wakati kafungwa magoli 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…