Hatari sana.ππππ
inginia soma iyoooooo entreprerneyekeneur
hebu rejea tena bwege wewe.
jamaa alisema yeye ndiye mtu pekee anayekula raha nchini tanzania
kuna anayebisha?
mamlaka ya kodi wako wapi?
takukuru wako wapi?
nimecheka kweli huyu jamaa ni empty set, ameonyesha umahiri wakati kafungwa magoli 4
View attachment 1112740
anatembelea gari ya takribani milioni 80 kithamaniHatari sana.
Haya mambo yatawatokea puani siku moja.Kuna watu wanadhani utawala hautakuja kubadilika.anatembelea gari ya takribani milioni 80 kithamani
Umenikumbusha mbali sana ....
upo sahihiHaya mambo yatawatokea puani siku moja.Kuna watu wanadhani utawala hautakuja kubadilika.
Kweli.upo sahihi
cha muhimu ukipata nafasi itumie vizuri kiuwekezaji wa baadae na si kutumia hela ovyo, fikiria Jk unadhani kwa jinsi alivyowekeza anaweza kuwa na uhaba wa hela?