capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Nimefanya nini kwaniCookie usinifanyie hivyo buanaπ
Hukuniaga wakati wa kulala jana,Nimefanya nini kwani
Siku yangu ni njema sana, wewe?Hukuniaga wakati wa kulala jana,
Umeamkaje lakini?
Nimeamka poa pia ..Siku yangu ni njema sana, wewe?
Vizuri sanaNimeamka poa pia ..
Tunaianza weekend ni mwisho wa mwezi pia .. mambo si mabaya kwakweli.