myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Wagonjwa Mungu awaponye
ASANTE jiraniWakulima poleni sana
Nakuona mzee baba wa upande wa kulia hapo
Safi kaka naona mmechafua Meza kwa vyakula vitamu hapo 🤔Hahahaha, niaje dada
Kesho ni Kesho...Madrid jumamosi..View attachment 1113007
[emoji16][emoji16][emoji16]. Mbona Toronto Raptors wanashinda na jamaa yuko nao beneti...
Aseno hatutakaa sawa mpaka tumrudishe Mzee Wenga...
Naam ni kutokana na hali ya majonzi na upweke wangu...ninayoyapitia only God knows...so kwa kiwango kikubwa ina reflect maisha yangu ni hivyo tu mkuu.Mkuu hii picha kwenye avatar yako inaumiza hisia yaani why umeweka hii.