Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naam ni kutokana na hali ya majonzi na upweke wangu...ninayoyapitia only God knows...so kwa kiwango kikubwa ina reflect maisha yangu ni hivyo tu mkuu.
Pambana kamanda. Mungu hatakuacha na kila kitu kitakuwa sawa. Na ye yote unayemuona hapa na huko mitaani akicheka na kufurahi, ndani huko ni vita anapigana. Ndiyo maisha. Cha muhimu ni kutokata tamaa na Kumtegemea Mungu daima. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…