Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwishoni mwa mwaka 2009 Samba aliuongezea nguvu mfuko wa World Wildlife Fund kwa kutunga na kutoa bure wimbo wa ‘ Mlima wa Magorila’ uliokuwa ukitoa wito kusaidia kuwalinda magorila waliopo katika Hifadhi ya Taifa ya Wanyamapori ya Virunga ya nchini Kenya ambako wanyama hao adimu hupatikana.
 
Mangwana anakumbukwa na wapenzi wa muziki wa dansi katika nchi za Afrika ya mashariki na Kati pale wasikiapo nyimbo za Hadija, Marina Nyama Choma, Alimasi, Dunia haina mwisho na Dunia tunapita. Nyingine ni Jaffar, Mapenzi hayana macho, Muniache, Virunga, Vijana, Ufunguo, Vunja mifupa, Siri na Vidonge uliopigwa kwa staili ya mduwara. Nyimbo zote zimeimbwa kwa lugha ya Kiswahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…