Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nitakunja vunja wewe..
FB_IMG_1559326303298.jpeg
 
Hivi huyu dogo ana matatizo gani huyu? Mbona anaropoka ropoka sana? Anadhani kuwa haya madaraka atakufa nayo?
Huyu anawaaibisha sana wakoromije wote. Just imagine leo kagawa futari kufuru tupu ukumbini huku nje wananchi wanahangaika na usafiri wa mwendokasi mpaka muda huu wengi wapo vituon wakisubiria mabasi ambayo ni machache sana
 
Back
Top Bottom