mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Yupo mkuuWapi ISIS
Huyu anawaaibisha sana wakoromije wote. Just imagine leo kagawa futari kufuru tupu ukumbini huku nje wananchi wanahangaika na usafiri wa mwendokasi mpaka muda huu wengi wapo vituon wakisubiria mabasi ambayo ni machache sanaHivi huyu dogo ana matatizo gani huyu? Mbona anaropoka ropoka sana? Anadhani kuwa haya madaraka atakufa nayo?
πππ
Nikajua mzee baba ni shemela πππUkajua,.... malizia basi..
@Shimba wa buyenze top uliyouliza Jana ni hii ya nguo aliyovaa huyu dada hapa kifuani