Dah mi siangaliagi hizi siku hizi.Sio kweli mkuu Korean drama hasa hizi za historical ni real story hakuna uongo hapo
Kuna siku mtakuta picha zenu humu!😲😲😲Huyu si Vivian
Only what?The one and onlyView attachment 1113812
🤣🤣🤣Bro, ISIS hajambo?
Hizi picha ni ishara ya nini mkuu naona toka juzi unaweka mpendwa