Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Image may contain: one or more people and outdoor
Haungui?
 
SOKA LA AFRICA KILA KITU KIPO NJE YA UWANJA

updates 15 za FAINALI HIO

fainali mkondo wa kwanza nyumbani kwa WYDAD

1.ESPERANCE wanapata goli [emoji122][emoji122]

2. Beki wa WYDAD anapata kadi nyekundu[emoji51][emoji51] baada ya kupewa njano mbili

3.WYDAD wanasawazisha goli , goli linakataliwa baada ya refa kuangalia VAR[emoji2813][emoji2813][emoji2813][emoji2813]

4.WYDAD wananyimwa penalti baada ya beki kuunawa Mpira ukielekea nyavuni refa anaangalia VAR na kukataa tuta[emoji35][emoji35][emoji35]

5.WYDAD wakiwa pungufu wanasawazisha goli[emoji460][emoji460][emoji460][emoji123][emoji123][emoji123]

6.mechi inaisha 1-1 pale MOROCCO [emoji810][emoji810][emoji810]

7.refa aliechezesha mechi ya fainali ya kwanza anafungiwa miezi 6 kutokakana na maamuzi mabovu kwenye mechi hio[emoji15][emoji15][emoji15]

8.mechi ya marejeano ( fainali ya pili) nyumbani kwa ESPERANCE

9.ESPERANCE wanapata goli la kutangulia[emoji1666][emoji122][emoji122][emoji122]

10.WYDAD wanachomoa na goli halali linakataliwa kwa madai ya kua MFUNGAJI alikua OFFSIDE[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

11.WYDAD wanamlalamikia mwamuzi akaangalie VAR lakini mwamuzi anasema VAR ni mbovu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji15][emoji15][emoji15]

12.WYDAD wanagoma kucheza mpakaa VAR iangaliwe [emoji122][emoji1666][emoji1666]

13.VAR inagundulika kua ni mbovu na haifanyai kazi [emoji15][emoji15]

14.RAIS wa CAF anaingia mpaka uwanjani kuomba mechi iendelee bila VAR lakini WYDAD wanagoma wakidai wanaonewa wazi wazi [emoji51][emoji51][emoji2813][emoji2813][emoji2813]

15.kapteni wa ESPERANCE anadai mwamuzi aliwaambia kabla ya mechi VAR ni mbovu lakini kapteni mwenzie wa WYDAD hakuelewa lugha ya mwamuzi[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

16.ESPERANCE anakabidhiwa kombe kwa mara ya pili baada ya mechi kuvunjika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

hili ndio soka la AFRICA aseee[emoji2813][emoji2813][emoji2813][emoji2813]
😂😂😂😂😂😂😂😂 VAR mbovu kwenye Final ya CAF
 
Mrejesho muhimu
Clear goal ilikuwa mechi nzuri ya ushindani ,Refa inawezekana aliona ni offside kwa hiyo kuondoa hizi lawama ndio maana zikaja VAR sielewi kama hawa CAF kama wapo serious na soka la Afrika kweli mechi ya final ya klab bingwa unakuja na excuse VAR mbovu na president anaingia uwanjana kushawishi kuendelea na mechi only in Africa naona vile vile Refa alikuwa na matokeo yake mfukoni hata kama VAR ingekuwepo
 
Back
Top Bottom