mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Ndio bro
Hizo tabia ni za watu wa kanda ya ziwa hata tabora pia. Hasusani wale waliokulia kwenye umaskin mkubwa,kwa historia ya paulo anayoyafanya ni yale aliyoyamiss utotoni hadi ujanani.
Ila elimu ya maana ingemuokoa
Kwa hali ya sasa ilivyo unafikiri nani anastahili cheo cha uBae wa uzi?Woyooooo [emoji23][emoji23]
π€£π€£π€£ unachangia nao!Mhhhh !!!
Unafikiri asingekuwa Mkoromije angekuwa na tabia tofauti? Unafikiri tabia zake hizi za kitoto ni matokeo ya kuwa Mkoromije? Just curious...[emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Cocaine is a hell of a drug...RIP Whitney....
πππNimemiss sana mapovu ngoja niende kwenye siasa kidogo nikawachokoze manyumbu na mafisi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unachangia nao!
Huko hutakawia kuitwa kibuyu, shoga, popoma, fala na vigingi vingine. Good luck [emoji16][emoji16][emoji16]Nimemiss sana mapovu ngoja niende kwenye siasa kidogo nikawachokoze manyumbu na mafisi