Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Broooooo. Nilikuwa nakuulizia hapa deile. Uko poa? Karibu tena bro na pole kwa mihangaiko.Hodi hodi Wakuu
Ni Mimi Cole Williams nawasalimu katika jina la amani na upendo zaidi Afya na uzima
😁 Hapo sasa!Usijali mpendwa nakuahidi kama hili ni Jina lako halisi nitalitaja ishaalah kwenye dua.
Ndio muwe mnahonga haya!
IST zina ubaya gani?Ndio muwe mnahonga haya!
Broooooo. Nilikuwa nakuulizia hapa deile. Uko poa? Karibu tena bro na pole kwa mihangaiko.
Muheshiwa kakataza kuziendesha.. hazifaiIST zina ubaya gani?