Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ocean road to Coco beach
FB_IMG_1559324964290.jpeg
 
Dunia. 😁

yaani tafsiri yKe ni "hii Dunia si chochote bali ni Uchafu (Mchanga)... Dunia ipo chini ya Nyayo zetu kipindi cha Uhai wetu.. Na tunapokufa Dunia inakua juu ya miili yetu (Maiti Kaburini)
Oh! Ujumbe mzuri sana..

Karibu sana Min 92.

Nafurahi kukuona hapa pamoja nasi 🙂

Tafadhari karibu!
 
Back
Top Bottom