No Bak hata kama ukiwa billion sio kila kitu utapata tatizo linaanzia hapo.Sijui Hawachi maisha yana thamani kubwa sana. Mie sielewi kabisa hawa wanapoamua kukatisha uhai wao, kwa mtu ambaye maisha yamempiga inaeleweka. Hawa kwa maoni yangu wanatafuta short cuts ambazo wao na their loved ones just to leave them with sadness for the rest of their lives. Asking themselves WHY did you do that!? Of course with no answer.
Nawe pia leo Hawachi popoGuys nawatakia usiku mwema.
Hebu mkumbatie wifi huko 😀😀😀I wish nikue popo na mimi 😀 😀
Issue ya kujiondoa uhai hata kama life limempiga mtu binafsi siielewi pia...Ni watu wengi wanapitia magumu sana lakini hawajiui.Sijui Hawachi maisha yana thamani kubwa sana. Mie sielewi kabisa hawa wanapoamua kukatisha uhai wao, kwa mtu ambaye maisha yamempiga inaeleweka. Hawa kwa maoni yangu wanatafuta short cuts ambazo wao na their loved ones just to leave them with sadness for the rest of their lives. Asking themselves WHY did you do that!? Of course with no answer.
Na kwako pia bro.Guys nawatakia usiku mwema.
Issue ya kujiondoa uhai hata kama life limempiga mtu binafsi siielewi pia...Ni watu wengi wanapitia magumu sana lakini hawajiui.
Ninachojitahidi ni kutokuwajudge wanaofanya matukio ambayo wakati mwingine sijui kwanini wanayafanya au sioni sababu ya wao kuyafanya.
Guys nawatakia usiku mwema.
🙏🙏🙏🤝🤝Tuko pamoja Mkuu.
No Bak hata kama ukiwa billion sio kila kitu utapata tatizo linaanzia hapo.
Akiendelea hivi atamnyang'anya Davet cheo chake cha uBae wa Uzi. This bro is veeeeeery smooth...[emoji16][emoji16][emoji16]Injinia soma hiyoooooooooooo!
Ni mental issues...Sense of total worthlessness. Yaani mtu unajiona kuwa huna thamani na kuwa we ni mzigo tu kwa ndugu na wapendwa wako. Akili yote na roho vinakuaminisha hivyo kabisa kabisa.Issue ya kujiondoa uhai hata kama life limempiga mtu binafsi siielewi pia...Ni watu wengi wanapitia magumu sana lakini hawajiui.
Ninachojitahidi ni kutokuwajudge wanaofanya matukio ambayo wakati mwingine sijui kwanini wanayafanya au sioni sababu ya wao kuyafanya.
Yupi?Hebu mkumbatie wifi huko [emoji3][emoji3][emoji3]