I see.Ni mental issues...Sense of total worthlessness. Yaani mtu unajiona kuwa huna thamani na kuwa we ni mzigo tu kwa ndugu na wapendwa wako. Akili yote na roho vinakuaminisha hivyo kabisa kabisa.
Kwa waliowahi kuwa na siriazi depression wanaelewa hili suala. Na mara nyingi wala halihusiani na kuwa na maisha magumu ama la ndo maana suicide haina cha tajiri wala masikini.
Amen.Ni kweli Bradha na mara nyingi inakuwa hivyo unaweza ukawa na pesa love ikakusumbua matokea yake maamuzi magumu ya kujiuwa mungu atupe nusula kwa hili
Fujo zikoje?Wachezaji kwa wachezaji?Bado hali sio shwari
Naona maamuzi game inamshinda hapa kuna goli jamaa wamesawazisha kalikataa ndio imezua fujo na mashabiki wanarusha vitu uwanjana wanaumiza wachezajiFujo zikoje?Wachezaji kwa wachezaji?
==Shwari.Ndio nini[emoji15]
I see.Naona maamuzi game inamshinda hapa kuna goli jamaa wamesawazisha kalikataa ndio imezua fujo na mashabiki wanarusha vitu uwanjana wanaumiza wachezaji
Kila la kheri bro.Shukrani bro!
Fitina za soccer tu wanazijua uzuri hapa wamekutana wenyewe kwa wenyewe wanawezanaI see.
Na wajamaa wanafigisu sana hao.Nakumbuka game moja ya clubs za Algeria na Egypt waliumizana sana uwanjani.
Umenivunja mbavu hapa bro 😂😂😂😂😅😅😅😂😂😂😂
Wakati sisi tunapata Sup naimani na wewe scandal juu ya rushwa ya mambo yetu yale haitokuacha salama 😀