Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_0652.JPG
 
Huyu na Davet ndiyo kwanza wako festi yia. Ngoma bado mbichi kabisa...[emoji16][emoji16][emoji16]

Nakwenda hapo kupiga chaki Novemba waombe sana nisiwafahamu. Nikiwafahamu aisee itakuwa msala wa kufa mtu. Niko tayari kuchomea kwa malekichara wao wapigwe sapu kidogo ili akili ziwakae sawa. Siyo mtu unakaa unazinduliwa zinduliwa au unaongoza TRM halafu upate A darasani. Shwaiiini kabisa !!! [emoji16][emoji16][emoji16]
😂😂😂😂

Wakati sisi tunapata Sup naimani na wewe scandal juu ya rushwa ya mambo yetu yale haitokuacha salama 😀
 
Back
Top Bottom