Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nilishangaa kugundua kwamba hata mwanamapinduzi Che Guevara kumbe naye anajumuishwa kwenye magaidi hatari waliowahi kutokea. Na imeandikwa vitabuni kabisa. Kwamba kazi yake ilikuwa ni kuzunguka duniani kote kueneza ugaidi...Labda.