Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji818][emoji818]
Kumi la mwisho
Nilifikiri umeiga ile staili maarufu ya "Empty Set". Kumbe yako ni Empty Space...Kuna tofauti???
Salama bro,habari ya uzima?mfungo unaendaje huko
Chelsea 2 Arsenal 0..Kila la kheri Chelsea
Siwezi kutamka kauli kama hiyo Bro, nakuheshimu sana.Nilifikiri umeiga ile staili maarufu ya "Empty Set". Kumbe yako ni Empty Space...Kuna tofauti???
Ha ha ha!!aah wapi,,kwa haya maneno TRM haiwez tishika bro[emoji23][emoji23]Ai emu siriazi bro...
Nikiwafahamu mwafa [emoji16][emoji16][emoji16]
Wamebeba chungu cha kwenda kuwakaangia.Ndiyo wanafikishwa sokoni...
View attachment 1084300