Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nduli orijino...
Imagine watoto wa UK waone hii picha kwenye vitabu vyao vya Historia [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1111691
Naye ana watu wake wanaomtetea. Ni shujaa kwa baadhi ya watu. Ndivyo ilivyo hapa duniani...Gaidi wako ni shujaa wa mwingine (ende vaisi vesa)...Heshima!!??
Huyu hastaiili heshima yoyote
Naye ana watu wake wanaomtetea. Ni shujaa kwa baadhi ya watu. Ndivyo ilivyo hapa duniani...Gaidi wako ni shujaa wa mwingine (ende vaisi vesa)...