Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu na Davet ndiyo kwanza wako festi yia. Ngoma bado mbichi kabisa...[emoji16][emoji16][emoji16]

Nakwenda hapo kupiga chaki Novemba waombe sana nisiwafahamu. Nikiwafahamu aisee itakuwa msala wa kufa mtu. Niko tayari kuchomea kwa malekichara wao wapigwe sapu kidogo ili akili ziwakae sawa [emoji16][emoji16][emoji16]
Nitakusaidia kuwapata! Na Carba naskia yupo hapo!
 
Huyu na Davet ndiyo kwanza wako festi yia. Ngoma bado mbichi kabisa...[emoji16][emoji16][emoji16]

Nakwenda hapo kupiga chaki Novemba waombe sana nisiwafahamu. Nikiwafahamu aisee itakuwa msala wa kufa mtu. Niko tayari kuchomea kwa malekichara wao wapigwe sapu kidogo ili akili ziwakae sawa. Siyo mtu unakaa unazinduliwa zinduliwa au unaongoza TRM halafu upate A darasani. Shwaiiini kabisa !!! [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee

Hii comment nimecheka sana,kwamba Bro lazima utukanyagie sapu zituhusu[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom