Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20190529_155215_396.jpeg
 
teh teh teh nimecheka kama mtafutaji mbwa aliyepotea kinga lagulo (mwizi wa form za polisi) kwa mujibu wa cag wa nchi ya malawi.
mkuu nikutoe wasiwasi sijawahi kufika korea
wazazi wangu hawatokei korea
sijui kuzungumza wala kuandika lugha ya kikorea (hangul)
mtanzania niliyezaliwa na kukulia zanzibar mjini.​

ni mswahili niliyevuka mipaka ya uswahili wangu kitabia, lugha fasaha na matendo japokuwa watu wengi humu ndani inawawia vigumu kuamini.

mkuu mbona hata wewe unanitisha kwa sababu most of the time unagonga kiingilishi ambacho hata nikikaa na kamusi langu sioni ndani, unapenda life style za kimarekani, vyanzo vyako vikubwa vya habari hususani kwa celeberities ni marekani kuliko TZ.

lakini ndio raha ya demokrasia ya mzungu, imetuwezeesha kuwa na uhuru wa kuchagua tupendacho japokuwa kuna wajinga wachache wanataka kutuhabiria maisha yetu hapa tanzania kwa kujificha kwenye mwamvuli wa uzalendo

저는 한국 사람 아닙니다 = jeoneun hangug 🇰🇷🇰🇷🇰🇷 sah rahm ah neem nee dah
= sitokei korea

jason derulo

​
View attachment 1111377
😁
 
Ni njema, naona unapambana!

UE lini Bro? Ndio unamalizia ama badobado?
Huyu na Davet ndiyo kwanza wako festi yia. Ngoma bado mbichi kabisa...[emoji16][emoji16][emoji16]

Nakwenda hapo kupiga chaki Novemba waombe sana nisiwafahamu. Nikiwafahamu aisee itakuwa msala wa kufa mtu. Niko tayari kuchomea kwa malekichara wao wapigwe sapu kidogo ili akili ziwakae sawa. Siyo mtu unakaa unazinduliwa zinduliwa au unaongoza TRM halafu upate A darasani. Shwaiiini kabisa !!! [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom