Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wahenga walisema pesa ni sabuni ya roho, lakini cha ajabu utasikia hawa mamilionea na mabilionea wengine wanajiua! Unabaki kupigwa na bumbuwazi. Mtu ana utajiri mkubwa kiasi hiki anawezaje kupata wazo la kutaka kujiua na kweli akalitimiza? Kipi kinachoweza kumsumbua hadi akatishe uhai wake na wakati afya yake ilikuwa bomba? Maisha kweli ni SAFARI NDEFU.

Dah nimeikubali jamaniii Kuna watu wanaishi sio sisi wengine
 
Wahenga walisema pesa ni sabuni ya roho, lakini cha ajabu utasikia hawa mamilionea na mabilionea wengine wanajiua! Unabaki kupigwa na bumbuwazi. Mtu ana utajiri mkubwa kiasi hiki anawezaje kupata wazo la kutaka kujiua na kweli akalitimiza? Kipi kinachoweza kumsumbua hadi akatishe uhai wake na wakati afya yake ilikuwa bomba? Maisha kweli ni SAFARI NDEFU.
Ukikosa amani na furaha hata uwe na utajiri wa aina gani unaweza fanya lolote ukaishangaza dunia Kuna mabillionea wanashindwa kupata hata tone la usingizi pamoja na utajiri Kuna vitu nao wanakosa.
 
Sijui Hawachi maisha yana thamani kubwa sana. Mie sielewi kabisa hawa wanapoamua kukatisha uhai wao, kwa mtu ambaye maisha yamempiga inaeleweka. Hawa kwa maoni yangu wanatafuta short cuts ambazo wao na their loved ones just to leave them with sadness for the rest of their lives. Asking themselves WHY did you do that!? Of course with no answer.

Back
Top Bottom