Happy Sabbath bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Cole Whats up Bro?
Niaje broAsante sana bro kwa kunikumbuka, Mungu ibariki Afya iko powa vipi upande wako
Poa poa kwa taarifa bro!!Hahah! ngoja nikupe taarifa kua jana wamempata free styler next week wanaanza mchakato wa breakdancing (b-boying). So so fresh ndio wanarusha usiache kufatilia
[emoji106]Sina team atakayeibuka mshindi ntampongeza.
Kuna tatizo mahali...
[emoji818][emoji818]Lakini mara baada ya kupatikana kwa Uhuru, kuliundwa bendi iliyopewa jina la NUTA Jazz ambayo kwa sasa ndiyo iliyo kongwe miongoni mwa bendi zilizopo hapa nchini.
Mwaka huu ni miaka 55 tangu ianzishwe mwaka 1964 katika jiji la Dar es Salaam, ikiwa chini ya ummiliki wa Jumuiya ya Wafanyakazi Tanzania (National Union of Tanzania) kwa kifupi NUTA.