Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

🙌 🙌
Screenshot_20190601-095805.png
 
Anyways bro,nimekupata sasa

Nazungumzia hawa hapa

Hahah! Hiyo cypher yao nimeifatilia bro nilijua unaongelea washiriki wenyewe wa shindano, jana ndio wamempata mshindi ndio huyo Kado ambae ataenda South kuwakilisha.....

Huyo jamaa alieanza kwenye Cypher anajiita Fresh like Aagh! Jamaa amenyonga kinoma 🙌🙌 Jana pia alikuwepo kwenye mchakato wa kumpata best free styler
 
Hahah! Hiyo cypher yao nimeifatilia bro nilijua unaongelea washiriki wenyewe wa shindano, jana ndio wamempata mshindi ndio huyo Kado ambae ataenda South kuwakilisha.....

Huyo jamaa alieanza kwenye Cypher anajiita Fresh like Aagh! Jamaa amenyonga kinoma [emoji119][emoji119] Jana pia alikuwepo kwenye mchakato wa kumpata best free styler
Hahah

Yes bro,nilikuwa namaanisha hawa,jana nilisikia baadae nikawa busy busy sikufatilia tena!!

Huyu FreshLikeUuhh ni hatari sana,ila huyo Mex[emoji91][emoji91][emoji91]
Sema wote wamefanya poa sana,kiwango kikubwa sana wameonesha
 
Lazima wafanye katika kiwango cha rami siumeona uzamini wenyewe brand kubwa sio kibamia, ata chupa lenyewe siumeona popote linanukishwa
 
Back
Top Bottom