Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Safi sana traveller, vipi uzima upo?Mkuu habari za asbh maombi yako Leo yanahitajika
Maombi ya kamati ya Roho mbaya 😁
Safi sana traveller, vipi uzima upo?Mkuu habari za asbh maombi yako Leo yanahitajika
Poa mkuu habari za weekendMorning to you.
Mambo ni vipi?
Bro jana ulikua na mkesha vipi lakini umeamkaje?
SafiiiLeo utatutambua..View attachment 1113514
EsperanceNani amekuwa bingwa
Mabingwa wa Afrika nani mkuu nipe matokeoBro jana ulikua na mkesha vipi lakini umeamkaje?
Salama kabisa, namshukuru Mungu.Poa mkuu habari za weekend
OkEsperance
Karibu sana mkuuSalama kabisa, namshukuru Mungu.
Natumai wanaendelea vizuri.Ntakuja kumbeba mtoto aisee.
Salama, nililala pale nilipokuaga nikasubiria reply nikasema huyu kashasinzia huyu.Bro jana ulikua na mkesha vipi lakini umeamkaje?
Esperance De Tunis 🏆Mabingwa wa Afrika nani mkuu nipe matokeo
Mpira wa Afrika aibu sanaSalama, nililala pale nilipokuaga nikasubiria reply nikasema huyu kashasinzia huyu.
Kwahiyo baada ya waamuzi kuvaa makoti yao Esperance akashinda[emoji3][emoji3]