Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Salama, nililala pale nilipokuaga nikasubiria reply nikasema huyu kashasinzia huyu.

Kwahiyo baada ya waamuzi kuvaa makoti yao Esperance akashinda😀😀
Hahah!

Ndio bro naona kwasababu ya baridi kali waliona bora wavae kwanza makoti uku wakisubiri maamuzi kutoka, baada ya kama masaa mawili hivi kasoro kidogo ndio refa anaitwa anavua koti, mara anaenda kati ya uwanja nakupiga kipenga cha kumaliza game....

Mimi na wachambuzi hatukuelewa kwanini imekua vile ila nahisi labda watakua wametafsiri kwamba Wydad wameanzisha fujo
 
Itakua hivyo sema sasa goli la Wydad lilikua goli la kweli au la??

Ngoja nicheki highlights....
 
Back
Top Bottom