Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wahenga walisema pesa ni sabuni ya roho, lakini cha ajabu utasikia hawa mamilionea na mabilionea wengine wanajiua! Unabaki kupigwa na bumbuwazi. Mtu ana utajiri mkubwa kiasi hiki anawezaje kupata wazo la kutaka kujiua na kweli akalitimiza? Kipi kinachoweza kumsumbua hadi akatishe uhai wake na wakati afya yake ilikuwa bomba? Maisha kweli ni SAFARI NDEFU.
Kuna siri kubwa sana juu utajiri wa mtu
 
Rekodi ya Jurgen Klopp ya kufikisha timu yake katika fainali hi ya kupigiwa mfano- lakini kiwango cha ufanisi wake ni cha kuvunja moyo.
Kocha wa Liverpool anaelekea katika fainali ya ligi ya mabingwa ya siku ya Jumamosi dhidi ya Tottenham akiwa na mkosi kushindwa katika fainali sita mfululizi.
Mbili kati ya mkosi huo ni kushindwa katika fainali ya ubingwa wa Ulaya - Kwa hiyo wikendi hii Mjerumani huyo anapania kujiepusha na kosa lolote litakalo mkumbusha makovu yaliyopita .
Morning Numbi maombi yako Leo yanahitajika
 
.
IMG-20190531-WA0061.jpeg
 
Back
Top Bottom