😂😂😂 pamoja broKila la kheri bro.
Utuwakilishe vizuri huko😀😀
Kikubwa uhai bro!Sinung'uniki sina viatu wenzangu hawana miguu, hawalalamiki wanamshukuru alie juu
Nafikiri walio wengi tupo hvyo,vinapendeza zaidi ukiwa unatizama movieMie mwenzenu haya madudu si mpenzi kihivyo nakula mara moja moja sana nikienda movie na huwa simalizi.
HahaJust shut the FU, I am eating. [emoji23][emoji23]
Shukrani kwa ukumbushoChukua dakika 1 kwa kumshukuru Mungu kukufanya uwe hai hadi dak hii...
Pia tuwaombee ndugu,jamaa,rafiki na wapendwa wote waliotangulia mbele ya haki...
Tukumbuke tu "Duniani Hapa Tupo Kwa Muda,Njia Yetu Sote Ni Moja"
Amin.