Ndio hapo sasa πKwamba nimeona unafaudu sanaπ
Naona wajerumani wamekwama, Mungu amesikia Dua yako Bro.
[emoji56][emoji56]Same to me
ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro,naona unakazia [emoji23][emoji23]
Ili muanze kunikatisha tamaa[emoji30][emoji16][emoji16]
Tukujue kwanza bado mapema upo upande gani?
Unanificha haya mambo hata mimi kakako kabisa bro? Siyo vizuri hivyo unafanya [emoji36][emoji36][emoji36][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro,naona unakazia [emoji23][emoji23]
Hahah! Hukatishwi tamaaIli muanze kunikatisha tamaa[emoji30]
Naimani na Liverpool leo
Ili muanze kunikatisha tamaa[emoji30]
Naimani na Liverpool leo
Bado sijainyaka ishu kisawasawa. Wanaume mnaongea kwa code bana. Mnanikera mpaka basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatzo Bro ameshaiona hii,na yeye ndiye mtunza kumbukumbu
Oh haina shida,Hahah! Hukatishwi tamaa
Tunataka tujue mgawanyo wa pole na pongezi baada ya game kuisha
Wikendi poa. Nasubiria kipigo cha mbwa koko cha Livapuu kwa hamuHa ha ha habari za huyu mkolomije tunazo,soon utajua kilichojiri hapo ha ha ha
Kwema bro?weekend inaendaje huko?
Si Mlokole huyu? Jesus is indeed his hope [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ha ha ha siwezi kukuficha kitu bro,tutaongea kila kituUnanificha haya mambo hata mimi kakako kabisa bro? Siyo vizuri hivyo unafanya [emoji36][emoji36][emoji36]
Hahaa, niandalieni kitambaa cha machozi[emoji29]3-2 Spurs pole sana usilie The Happiness
Sweetheart [emoji7][emoji7]Kwamba nimeona unafaudu sanaπ
Naona wajerumani wamekwama, Mungu amesikia Dua yako Bro.