Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Fainali haina 120
Barca katolewa na bingwa sijui Madrid na Juve aliewatoa yuko wapi 😁Kiboko ya barca
Hahahaha aisee huu sio utetezi ujue Messi huko alipo keshavunja TV ..asilimia kubwa ya mashabiki wa barca hawakuuombea huu ushindiBarca katolewa na bingwa sijui Madrid na Juve aliewatoa yuko wapi 😁
sasa hivi vi spurs vinalilia nini wakati havijacheza vizuri
HakikaMimi naamini Ajax angepambana kuliko hawa spurs
Si mbaya mwenye nafuu kapatapo kaushindiYaani wewe hata Liverpool hajacheza vizuri
Haikua ya kibabe hii laini mnoFainali haina 120
Yes Babe' Sleep well My Love.Sweetheart [emoji7][emoji7]
Sio mashabiki wa Barca tu bali ni mashabiki wa timu nyingi sana ata pale England liver leo walikua wanajishabikia wenyewe tuHahahaha aisee huu sio utetezi ujue Messi huko alipo keshavunja TV ..asilimia kubwa ya mashabiki wa barca hawakuuombea huu ushindi
A very soft Final ever!!Haikua ya kibabe hii laini mno
Basi liver ni jeshi la mtu mmoja. Wiki nzima kelele zao tutakomaSio mashabiki wa Barca tu bali ni mashabiki wa timu nyingi sana ata pale England liver leo walikua wanajishabikia wenyewe tu
KabisaA very soft Final ever!!
Mambo? nmekumiss sana.Yes dear