capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Haikua ya kibabe hii laini mno
Ndio hivyo tusubiri kulike mapicha picha tu week nzima kutoka kwa MoudBasi liver ni jeshi la mtu mmoja. Wiki nzima kelele zao tutakoma
Hizi fainali za hivi karibuni ni uozo kweli Tangia ile ya 2008 pale Moscow hakuna Fainali kali tena zote mdebwedo yaani hakuna wapambanaji kabisa
Final nyepesi sana tulishachukua kombe kwa kumpiga barca 4 -0 ilikuwa came back ya hatari kuwahi kutokea all and all sisi ndio mabingwa wa ulaya pep atasubiri sana na city yakeHongereni sana Liverpool kwa kulitwaa Kombe la ubingwa wa UEFA kwa mara ya sita. Klopp is DA MAN!
Ndo soka la sasa ujanja ujanja mwingiHizi fainali za hivi karibuni ni uozo kweli Tangia ile ya 2008 pale Moscow hakuna Fainali kali tena zote mdebwedo yaani hakuna wapambanaji kabisa
Ndio hivyo tusubiri kulike mapicha picha tu week nzima kutoka kwa Moud
Kabisaa huko alipo anazikusanya za kutosha hahahaNdio hivyo tusubiri kulike mapicha picha tu week nzima kutoka kwa Moud
Mpaka nikawa nasinziaMtu unaangalia Final huku unachati mara unaongea na simu kweli vya zamani vizuri
Ndo soka la sasa ujanja ujanja mwingi
Hongera broHahahaha acha wivu bhana
Mpaka nikawa nasinzia
Hawajazoea hayo mamboWachezaji wa liver wanachekesha furaha yao
MashikoloWanavyonyanyua kombo comedi tupu hahahaa
Ilitakiwa viatu vitembezwe balaa sio gemu nzima kadi hamnaYeah unaweza kulala kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]