Pole sana mkuu ngoja nifanye utaratibu wa kuibadili...Hii avatar yako nikiona inanisikitisha sana mkuu.
Akikuelekeza nitag na mimiHello my love? How have you been?
Nielekeze namna ya kumention hivyo ulivyonimention
Ngoja nimsaidie hatua ya kwanza tag mhusika kisha post halafu rudi kuedit futa jina la mhusika weka neno unalotaka kazi kwishaAkikuelekeza nitag na mimi
Kukosa aibu
Shabiki halisi wa mpira wa miguu kuvua nguo uwanjani au kupiga kelele za kushangilia siyo jambo la aibu. Kila shabiki halisi hufanya kila analoweza bila kujali aibu ili tu ahamasishe timu yake kushinda kwa njia ya kuishangilia.
Kwa hakika katika maisha ya kawaida pia ni muhimu kutokuona aibu katika kutekeleza mambo mbalimbali ili tufanikiwe.
Kumbuka kuwa wapo watu walioanza kufanya kazi za aibu lakini sasa wana kazi na maisha mazuri kwa sababu hawakuona aibu kufanya kazi zinazoonekana kuwa ni za aibu.
Hayo machozi ya huyo mtoto najikuta hata mimi natamani kuliaPole sana mkuu ngoja nifanye utaratibu wa kuibadili...
Hiyo namba 3..🤣🤣🤣
Hii picha naiona humu toka Jana huyu dada ana matatizo gani sisi wengine sio mashabiki wa mpira kiivyo
Pleased to hear that lil broNashukuru sijambo Bro,
Dah siyo kwa diskripsheni dipu namna hiyo! Eti hadi ulaini .. yote kwa picha tu?Liwaifu lakini si umeliona lilivyo? Jeupe, tipwatipwa, laini, mamiguu ya bia, tabasamu tulivu na limtako meng'enyevu. Simlaumu askofu kwa kupaniki. Hata mimi ingeniuma sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]