capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Usijali Mke wanngu Kipenzi.Hello my love? How have you been?
Nielekeze namna ya kumention hivyo ulivyonimention
Tayari umejua.
Vipi weekenda yako?
Usijali Mke wanngu Kipenzi.Hello my love? How have you been?
Nielekeze namna ya kumention hivyo ulivyonimention
Hooovyooooo !!!
Kipoteze mara ngapi?Chama hicho kinaanza kupoteza weledi wake
Mbona kimbembe bado? Sherehe mwezi mzima wallahi. Wana usongo balaa [emoji16][emoji16][emoji16]mashabiki wa liverpool bado hamujatosheka na sherehe?
kafanyeni kazi bwanaaa japokuwa leo jumapili
😛😛
Halafu wanaanza kulalamika eeeh!?
Hahahahamashabiki wa liverpool bado hamujatosheka na sherehe?
kafanyeni kazi bwanaaa japokuwa leo jumapili
😛😛
[emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahaha karibu sanaAsante Mkuu[emoji8] Nimekaribia jana [emoji16] nimepapenda sanaa hapa jamvini.
Liwaifu lakini si umeliona lilivyo? Jeupe, tipwatipwa, laini, mamiguu ya bia, tabasamu tulivu na limtako meng'enyevu. Simlaumu askofu kwa kupaniki. Hata mimi ingeniuma sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Hii yote kwa ajili ya kuchapiwa tu
ndio maana mungu hasikii kilio chao cha kutaka ubingwa wa premier league.Mbona kimbembe bado? Sherehe mwezi mzima wallahi. Wana usongo balaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Kama Mzanzibari, huu Muungano we mkuu unauonaje? Ufikie ukomo muwe huru, ubadilishwe au unapenda uendelee hivi hivi ulivyo?sijasoma tarehe jamani
Aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Profesa Palamagamba Kabudi amejibu baadhi ya hoja za watu wanaopendekeza muundo wa serikali mbili na kusema Serikali ya Zanzibar ndiyo iliyoanza kutaka serikali tatu mwaka 1984."
Aidha, amewashangaa wanaolibeza jina la Tanganyika kutumika serikalini kwa madai kuwa jina hilo siyo haramu kwa kuwa limo ndani ya Katiba ya sasa.
Alisema kuwa wakati huo madai ya serikali tatu yalitolewa na Zanzibar na kusimamiwa na Rais aliyekuwa pia Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaji Aboud Jumbe.
"Hoja ilipelekwa pia kwenye Baraza la Wawakilishi, Brigedia Mstaafu Ramadhan Haji Fakhi (aliyekuwa Waziri Kiongozi), alikuwa akiongea kwa sauti nzito, kama ulikuwa ukimsikiliza, unasema muungano haupo," alisema Profesa Kabudi na kueleza kuwa Fakhi alisema: "Zanzibar siyo koloni la Tanganyika."
Alikuwa akichangia hotuba katika Kongamano la Kujadili Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lililofanyika mjini Zanzibar jana. Alieleza kwamba mjadala wa sasa wa muungano siyo mkali kama uliokuwepo mwaka 1983 na 1984.
Hata hivyo, hotuba hiyo ya Profesa Kabudi iliyokuwa ikirushwa moja kwa moja na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC1) ilikatishwa kabla mzungumzaji kumaliza hotuba yake.
Katika maelezo yake, Profesa Kabudi ambaye pia ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, alisema kuwa Fakhi alikuwa haongei kama mtu baki, bali aliagizwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Hivi hii kesi ya Nabii Mwingira iliishia wapi?Hapa huwa napata tabu sana.
Mmoja miongoni mwa hawa manabii alifumaniwa na mke wa muumini wake mmoja ambaye ni mwanasheria maarufu jijini Dar es salaam.
Mwanasheria huyu ambaye pia alikuwa mfadhari wa kanisa na watumishi wa kanisa akiwemo nabii mwenyewe, akifungua mashtaka kurudishiwa ardhi yake aliyoitoa kwa Nabii/ Askofu aliyemfumania na mkewe. Hata hivyo kashfa hii haikuwatikisa waumini wake, watu wanaendelea kumuamini.