Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzuri hapa huwa hatutukanani. Japo siasa na dini zipo lakini ni kwa kiasi kidogo na tunavumiliana. Tunapokwazana tunawekana kwenye iginoa listi halafu baadaye tunasameheana na mambo yanasonga mbele. Hapa kuna watu wa kila aina - wasomi, matajiri, wajasiriamali, wakulima na wajuzi wa kila mambo. Kiumri kuna vijana wa kuanzia miaka 16 mpaka wazee wa miaka 80 (mimi). Ukiangalia kwa juu juu utadhani kuwa ni uzi wa hovyo hovyo tu lakini ukikaa kwa muda utagundua kuwa kumbe JF yote iko hapa.

Karibu sana Min 92.

(Na mimi ndiye mtunza kumbukumbu na mafaili yote ya uzi huu. Ukitaka kujua jambo lolote hapa niulize)

Mzee Baba naona unajipigia pande. Halafu unataka uwe Katibu Mkuu wa CHACHAWA, thubutu yake! Ila hata wavuvi kwenye huu uzi tupo, umetutenga hapo! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
20190602_185402.jpeg
 
Mpaka na umri wangu kabisa nimetaja ili kuondoa maluweluwe halafu unanituhumu kuwa najipigia chapuo? Na wavuvi mmo kwenye kundi la wajasiriamali poti...

Baada ya kumalizana na Veritas home unatimba lini?
 
Uzuri hapa huwa hatutukanani. Japo siasa na dini zipo lakini ni kwa kiasi kidogo na tunavumiliana. Tunapokwazana tunawekana kwenye iginoa listi halafu baadaye tunasameheana na mambo yanasonga mbele. Hapa kuna watu wa kila aina - wasomi, matajiri, wajasiriamali, wakulima na wajuzi wa kila mambo. Kiumri kuna vijana wa kuanzia miaka 16 mpaka wazee wa miaka 80 (mimi). Ukiangalia kwa juu juu utadhani kuwa ni uzi wa hovyo hovyo tu lakini ukikaa kwa muda utagundua kuwa kumbe JF yote iko hapa.

Karibu sana Min 92.

(Na mimi ndiye mtunza kumbukumbu na mafaili yote ya uzi huu. Ukitaka kujua jambo lolote hapa niulize)

Asante sana SHIMBA YA BUYENZE Mungu akubariki. Ila siamini km una miaka 80 😛 hata mimi nimevutiwa na huu Uzi, upo cool sana.... Nshakuru kwa kunipokea vizuri.
 
Uzuri hapa huwa hatutukanani. Japo siasa na dini zipo lakini ni kwa kiasi kidogo na tunavumiliana. Tunapokwazana tunawekana kwenye iginoa listi halafu baadaye tunasameheana na mambo yanasonga mbele. Hapa kuna watu wa kila aina - wasomi, matajiri, wajasiriamali, wakulima na wajuzi wa kila mambo. Kiumri kuna vijana wa kuanzia miaka 16 mpaka wazee wa miaka 80 (mimi). Ukiangalia kwa juu juu utadhani kuwa ni uzi wa hovyo hovyo tu lakini ukikaa kwa muda utagundua kuwa kumbe JF yote iko hapa.

Karibu sana Min 92.

(Na mimi ndiye mtunza kumbukumbu na mafaili yote ya uzi huu. Ukitaka kujua jambo lolote hapa niulize)
Nakuona mtunza records 😬 😬 👊
 
Back
Top Bottom