Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
IMG-20190602-WA0037.jpeg
 
nimedondosha machozi.
wale watesaji wake sijui wamejifichia nyumba gani ya ibada muda huu.
wengine leo hii wapo kwenye mfungo
wengine leo wametoka kanisani
wengine wapo kwenye mizimu yao
wengine wapo kwenye milima wanaomba
wengine vyuma chakavu hawana habari ya mungu
wengine wanatafuta nguvu za kiume muda huu


☹ sad
 
Back
Top Bottom