mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
.
Umepata futari Min 92?
Karibu kwa futari, daku kama ukipenda pia.
Simply Beautiful
80 years old??..aisee inabidi humu JF tuishi kwa kuheshimiana..4 fold of my ageUzuri hapa huwa hatutukanani. Japo siasa na dini zipo lakini ni kwa kiasi kidogo na tunavumiliana. Tunapokwazana tunawekana kwenye iginoa listi halafu baadaye tunasameheana na mambo yanasonga mbele. Hapa kuna watu wa kila aina - wasomi, matajiri, wajasiriamali, wakulima na wajuzi wa kila mambo. Kiumri kuna vijana wa kuanzia miaka 16 mpaka wazee wa miaka 80 (mimi). Ukiangalia kwa juu juu utadhani kuwa ni uzi wa hovyo hovyo tu lakini ukikaa kwa muda utagundua kuwa kumbe JF yote iko hapa.
Karibu sana Min 92.
(Na mimi ndiye mtunza kumbukumbu na mafaili yote ya uzi huu. Ukitaka kujua jambo lolote hapa niulize)
Mmh!Aisee. Ni kweli wanabadili tena...
Kuna tatizo mahali..
Aah hivi vijeba 😁
Poa, mzima?Mamboz
Kg hujambo ?Poa, mzima?
True80 years old??..aisee inabidi humu JF tuishi kwa kuheshimiana..4 fold of my age
Aah hivi vijeba 😁
Kama Ice cream vile!
Vinachekeshaga! Sijuagi majina yao navionaga kwy miziki ya kina P square etcNdio hao 🤣 😂