Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

He tweeted that he had no money and was looking for a job. 😕💰


60578622_752370501831259_3895472056912057502_n.jpg
 
mbwa kala mbwa na kinyesi katoa mbwa.
nimependa hilo jibu alilompa huyo member mzembe mzembe.
kwani chapati na kaimati zina dini.
kwani waarabu wasio waislamu hawapo na mbona wanavaa mitandioa na kujisitir vizuri kama masister wa kanisa.
kuna mwenye hati miliki ya kuwa muislamu au christian
empty set
Mkuu niaje
 
nimedondosha machozi.
wale watesaji wake sijui wamejifichia nyumba gani ya ibada muda huu.
wengine leo hii wapo kwenye mfungo
wengine leo wametoka kanisani
wengine wapo kwenye mizimu yao
wengine wapo kwenye milima wanaomba
wengine vyuma chakavu hawana habari ya mungu
wengine wanatafuta nguvu za kiume muda huu

Huyu mbona cha mtoto? Hawa walimgeuza mwenzao kifusi cha nyama tena mchana kweupe tena mkutanoni na karibu wote wakaishia kupandishwa cheo. Dunia hii we ione tu hivi hivi...
tapatalk_1559479521569.jpeg

tapatalk_1559479554776.jpeg
 
Back
Top Bottom