Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sijui ila nasikia RPC aliyetoa amri hiyo na alikuwepo maeneo ya tukio alirudishwa makao makuu na kupandishwa cheo. Hao madogo hapo ndo wakabebeshwa mzigo. Hata sijui kama walifungwa ama la...
nimesoma taarifa muda huu muuaji amefungwa miaka 15 jela, sijui kama bado yupo ndani au ndiyo ishu za doctor prisoner korean drama.
a.k.a mwendo wa kula maisha nje ya gereza
 
i wish malaika wa mtandao ashuke apate kuzima mitandao
i wish ningelikuwa mlinzi wa uwanjani siku ya jana.
hizi tamaduni nyengine ni sheeeddah, huyo binti ina maana ametoka nyumbani kwake hadi uwanjani na kivazi cha kuigizia filamu za ngono
View attachment 1115303

Namuona Sissoko hapo Nyuma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wachungaji wa aina hii hawawezi kuongelea mafanikio ya watu weusi kama Barack Obama, Serena Williums, na Usain Bolt. Hawawezi kuongelea wagunduzi waliosaidia kutransform dunia kama kina Albert Einstein, Steve Jobs na wengine. Hawawezi kuongelea Wanasayansi waliodedicate maisha yao na wengine kufia maabara wakitafuta dawa za kutibu magonjwa mbalimbali yanayoisumbua Afrika.

Hawawezi kuongea kuhusu wanafasihi vijana kama Chimamanda Ngozi na Ben Okri, au wanafasihi wakongwe kama Chinua Achebe na Ngugi wa Thiong'o.

Kila pembe ya dunia kuna watu waliofanikiwa kutokana na maarifa, bidii, ubunifu, na weledi. Wapo wafanyabiashara, wanasiasa, wanafasihi na hata wanasayansi wanaofanya mambo makubwa ya kuisaidia dunia yetu. Lakini wachungaji wa Afrika hawatawaongelea watu wa aina hii.
Kweli kabisa
 
Wao wataongelea mtu aliyepata kazi kimiujiza licha ya kukosa sifa za kupata kazi hiyo, kwa sababu tu aliombewa na kupewa mafuta ya upako siku ya interview ya kazi.

Wataongelea kuhusu kijana aliyetoa mshahara wake wote kwa miezi mitatu mfululizo kwa Mchungaji wake kama mbegu ya mafanikio, baadae akawa 'Boss' kazini.

Au wataongelea kuhusu kijana aliyefeli sekondari lakini baada ya baba yake kumalizia ukarabati wa nyumba ya Mchungaji, alipokea barua ya kupata 'admision' chuo kikuu bila hata kurudia mitihani.
Hahahaha
 
ile siku ya manula kupewa millioni 10 kwa kuokoa michomo mingi ugenini dhidi ya tp mazembe inakaribia.
ni millioni 10 jamani
milioni 10 kutoka kwa mwanadamu mwenye matokeo mabaya ya kidato cha nne kama daemusin
narejea tena ni milioni 10 kutoka kwa kiongozi wa wanyongeni muwazike
 
Wachungaji hawa hutumia 'miujiza na shuhuda feki' kama njia ya kuwafumba akili wafuasi wao. Kule Afika kusini kuna Mchungaji alidanganya kufufua mtu. Hata alipoomba msamaha baadae bado kuna waumini wanaendelea kumuamini na kumsujudu.

Na wamegundua haya ndio mahubiri yanayopendwa sana huku Afrika. Hawataki kuhubiri kubusu Aliko Dangote alivyoanza biashara na magumu aliyopitia.

Wanahubiri kuhusu mama Janeth aliyekua mama Ntilie huko Enugu, lakini alipotumia mtaji wake wote wa shilingi laki 5 kununua mafuta ya upako kwa Nabii fulani, ghafla biashara yake ikakua na sasa anamiliki mahoteli makubwa pande zote za nchi. Yani bila mtaji, bila business plan, bila timeline ghafla tu akamiliki mahoteli. Na waumini watashangia kwa kusema Ameen.
Hahahaha
 
At nikikohoa mnaitika 😀 😀

Haya makanisa msingi wake nini?

Rubbish
Text hii hapa. Wakenya bana [emoji16][emoji16][emoji16]

Respect my wife ,you bishops ,you came to my church na matuta na matangala,sai mnangala mnafikiri mumefika,Neno ni yangu am the founder ,useless ,arrogant ,stupid,wajinga nyinyi,

If you cant respect my wife in this church ,enda ubadirishe jina uite yako shenzi!na hakuna mahari mbaeza nipereka mimi ndie neno

Mimi muwezi niambia kitu wajinga,mnafikiria mutanitahirisha mimi,kama umetahiri nijaribu,nyinyi wote nitawafukuza

Sai mnajisikia juu mumetajirika na mko na tupesa ,pesa gani?nyinyi mna pesa gani?na uto tugari munaendesha ,

Nyinyi mumenikuta hapa juzi mkiimba choir na kuruka ruka apa useless

Hizo kiosks "church" nitafunga zote na nifungue ingine kando yake saa hio hio ,nyinyi nyinyi ,mtajua mimi ni nganga ,I swear mbele ya mungu!

Vile mlikua mnaninyenyekea bila kitu ata sasa muwe hivyo,nikikohoa mnaitika ,hii kanisa nimehubiri na mkokoteni ni yangu mimi na Neno ni mimi..

Mnao shiriki hapa kama huezi heshimu bibi yangu ,toka nje ,nitakupiga teke nikutoe nje ,watu wa nuksi ni wanuksi tu!

Kabla Octoba nafunga hizo kiosks nibakishe hii yangu ,nitawamaliza completely!weeh!
Wanjinga nyinyi, pabaaf
 
Aisee

D8DJqYmW4AA3TJs.jpg
 
Wazungu na Wachina wanazidi kushindana katika kuitawala dunia kwenye mambo mbalimbali kuanzia viwanda, biashara, sayansi na teknolojia. Sisi tuko 'busy' kununua maji ya upako tukiamini yatatufanya tuwe kama Jack Ma au Bill Gates. Upuuzi.

Tumeumbwa kuitawala hii dunia (Mwanzo 1:28). Tutumie vipawa na karama tulizopewa ili kutimiza kusudi hilo la Mungu. Tusiruhusu Askofu, Mchungaji, Nabii, mtume au kiongozi mwingine yeyote wa dini atutawale akili zetu kwa kutuhubiria mafanikio ya miujiza. Wao wanashi kifahari kwa sadaka za waumini wao, huku waumini hao wakiendelea kuwa mafukara wa kutupwa.

Biblia inasema kumcha BWANA ni chanzo cha maarifa (Mithali 1:7). Tutafute maarifa, tufanye kazi kwa bidii, na tumuabudu Mungu katika riho na kweli. Kwa kufanya hivyo tutapata MAFANIKIO katika mambo yote tuyafanyayo. Mungu akubariki unayesoma ujumbe huu. Unaweza kushare na wengine.!
Yap
 
Back
Top Bottom