Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1115216


fedha au vitambaa vya kushonea nguo
 
Nikweli bro humu ndani ni kisanga ata mwenyewe mpaka kutulia humu likes ilikua ni kukwepa changamoto nyingi nilizokua napitia humu Jf maana ilikua ni tabu kuliko ata ninazoweza kupitia nikiwa mtaani...
Umenichekesha sana bro. Eti ulikuwa unapata taabu kuliko hata zile ulizokuwa unapitia mtaani [emoji16][emoji16][emoji16]

Wewe taabu zako zote humu naamini zilikuwa zinatokana na yale mambo yako tu. On a serious note hata mimi nimebadilika sana. Ni sawa na kusema kuwa nimekulia humu (japo ni mhenga tayari). Nimejifunza mambo ya muhimu sana kuhusu maisha na hasa mahusiano na watu hata katika uzi wetu huu. Sasa yaani nina amani sana hata huku mtaani kwangu Mbagala mambo ni mswanooo...
 
Hadi dakika 45 za kwanza zinamalizika, Liverpool walikwenda mapumziko wakiwa kifua mbele. Kipindi cha pili, Spurs waliingia na nguvu mpya na kucheza soka la kuonana, lakini bado walikabiliwa na wakati mgumu kuipenya ngome ya Liverpool iliyokuwa na ukuta wa chuma.
 
Kwenye mchezo huo, Spurs walikuwa na umiliki wa asilimia 63.1, lakini hakuweza kupiga shuti lililolenga goli la Liverpool kwenye dakika zote 90. Hata hivyo, Sadio Mane, Mo Salah hawakuwa nyuma kuipa shughuli safu ya ulinzi ya Spurs, ambapo walikuwa wakifanya mashambulizi ya kushtukiza. Liverpool ilipiga mashuti nane huku mawili yakilenga goli la Spurs.
 
Wakati Spurs walihangaika kutafuta bao la kusawazisha, Origi aliyeingia kuchukua nafasi ya Roberto Firmino, aliihakikishia Liverpool kuondoka na taji hilo baada ya kupiga bao maridadi na kufanya ubao wa matokeo kuwa 2-0.
 
kwa msaada wa malisa GJ
Makala hii iliandikwa kwa kiingereza na Mwandishi Kay Musonda na kuchapishwa na jarida la Modern Ghana, toleo no.215 la April 1 mwaka huu. Nimefanya tafsiri isiyo rasmi ya Kiswahili pengine tutapata la kujifunza.
________________
Afrika kwa sasa inashuhudia aina mpya ya utumwa kupitia Ukristo (ulokole). Aina hii ya utumwa wa imani imewafanya watu wengi kuwa wavivu wa kufikiri na uwezo wa kutafakari mambo umedumazwa.

Baadhi ya wachungaji wa kilokole wamejipa uungu mtu. Wanapenda kutukuzwa, kuabudiwa na kusujudiwa. Wanajituza wao zaidi kuliko kumtukuza yule wanayemhubiri.
 
Back
Top Bottom